iqna

IQNA

abu turabi fard
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, mapambano ya watu wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa mapambano ya Ashura katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
Habari ID: 3475790    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, muongozo na muelekeo wa kisiasa wa Imam Khomeini -Mwenyezi Mungu Amrehemu- ni kielelezo cha wazi cha falsafa ya siasa katika Uislamu.
Habari ID: 3475329    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/03

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mingoni mwa nchi chache zenye nguvu za kiulinzi za kudhamini amani na usalama wa eneo na wa Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474942    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/18

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaandaa ramani ya njia ya ushirkiano na nchi zingine kwa kuzingatia maslahi yake ya taifa.
Habari ID: 3474832    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21

Khatibu wa Swala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA) - Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria mapambano ya Kiislamu (muqawama) na kusimama kidete wananchi wa Syria, Lebanon, Iraq, Bahrain na Yemen mbele ya mabebebu na waistikabari na kusisitiza kuwa, somo la Ashura na harakati ya Imam Hussein AS ni chimbuko la muqawama wa wananchi wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
Habari ID: 3472128    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/13